FAIDA YA KUFIKIRIA
Fikra zako ndizo hukupeleka katika mafanikio yako. Anza na kuimalisha akili yako ili uweze kuwa na fikra za kukujenga na sio kukuathili.
Mafanikio yako huweza kuwa ya muda wowote, ukiwa kijana, au mzee. Ila Pambana katika kutimiza kile unachowaza na kuona kuwa na manufaa kwako.
Maoni
Chapisha Maoni